Urban hit 30 ya Trace TV June 11 2016, East Africa wako watatu tu.

. . No comments:


Bado ninaendelea kukusogeza video za Bongopamoja na East Africa kwa ujumla ambazo zinaendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV barani Africa June 11 2016kupitia  Trace Urban top 30 wamezitaja videotatu tu kutoka East Africa, na kwenye hii list hiyo video mbili ni kutoka Tanzania na mojakutoka Kenya.

Mtu wangu katika list hii Vanessa Mdee  na  ngoma yake ya Niroge ameshikilia nafasi ya  tano, Mayunga  kutoka Tanzania pia aliemshirikisha Akon wa Marekani kushika namba 15 na Sauti Sol kutokaKenya waliomshirikisha Alikiba kutokaTanzania imeshikilia namba 10.

Video hii imewekwa youtube Mar 24, 2016 na imetazamwa mara 722,947 mpaka sasa na inaendelea kufanya vizuri katika countdown hizi vituo vya kimataifa.

video hii imewekwa youtube Mar 10, 2016, na kupata viewers 2,197,536 mpaka sasa pia inaendelea kupewa airtime katika vituo hivi vya kimataifa.

video hii imewekwa youtube May 20, 2016, na kupata viewers 332,478 sasa na pia inaendelea kufanya vizuri katika kituo hiki cha kimataifa.

No comments:

VIEWERS

LATEST NEWS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...